Naibu Waziri wa kazi na Ajira,Dkt.Makongoro Mahanga akifunga mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),uliomalizika leo,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu
yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia
panda-Nini kifanyike".
wenyekiti wa bodi ya wadhamini wa NSSF,Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kimekoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akitoa ufafanuzi wa jambo kabla ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kimekoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu
yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia
panda-Nini kifanyike".
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emanuel Humba (pichani shoto) akiongoza mjadala wa mambo ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu
yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia
panda-Nini
kifanyike".Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau.
kifanyike".Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau.
Mkurugenzi wa hospitali ya
IMTU,ambaye pia ni mshauri wa mambo ya Afya kwa Jamii,Dkt.Ali Mzige
akijibu mijadala ya maswali mbalimbali ,yaliyokuwa yakiulizwa na wadau
mbalimbali kuhusiana na mada ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma
leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini (CHADEMA),akiuliza swali wakati
wa mada ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya
tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya
Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
Baadhi ya wadau zaidi ya 1000 waliohudhuria mkutano
wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao
kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa
mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini
kifanyike".
Post a Comment