Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Msimamizi Mwendeshaji wa Shirika la
la Maendeleo la Marekani USAID, Dr. Rajiv Shah kabla ya mazungumzo yao,
Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 20, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel
Lymo wakizungumza na Msimamizi Mwendeshaji wa Shirika La Maendeleo la
Marekani (USAID), DR. Rajiv Shah (kushoto ) na Balozi wa Marekani
nchini, Alfonso Lenhardt Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Februari 20 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment