Sheikh Hasani Kabeke wa Mwanza akichangia katika kikao cha kutatafuta muafaka kati ya Waislamu na Wakristo kuhusu uchanjaji wanyama kilichoitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Banki Kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013.(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Viongozi wa madhehebu
ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati
alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo kujadili mgogoro wa
uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viongozi wa madhehebu
ya Dini ya Kiislam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati
alipozungumza na Viongozi wa Dini ya Kiislam na Kikristo kujadili mgogoro wa
uchinjaji wanyama kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi wa Radio
ya Kikristo ya jijini Mwanza ya Kwaneema, Askofu Mpemba akichangia katika kikao
kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Viongozi wa dini za Kikristo na Dini ya
Kiislamu cha kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kilichofanyika kwenye ukumbi
wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 16,2013.(Picha na Ofisi yaWaziri
Mkuu)
Waziri Mkuu Mizengo
Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Radio ya Kikristo ya jijini Mwanza ya
Kwaneema, Askofu Mpemba.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda kijadili jambo na Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Ahmed Ali (kushoto)
na Sheikh wa msikiti wa Buswelu, Athumani Ali katika kikao cha kujadili mgogoro
wa uchinjaji wanyama kati ya Waziri Mkuu na viongozi wa dini za Kikristo na
Kiislamu kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki kuu jijini Mwanza Februari 16,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
Post a Comment