Mwenyekiti wa Cuf Taifa,
Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika
mkutano wa hadhala uliopewa jina la mchakamchaka mpaka 2015 ambao ulifanyika
kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya
Morogoro.
Katibu mkuu wa Cuf,
Maalim Seif Hamad akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano
wa hadhala wa mchakamchaka mpaka 2015 uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya
msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.
Mwenyekiti wa
Cuf Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kushoto,
Katibu mkuu wa Cuf, Maalim Seif
Hamad na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi kulia wakifuatilia matukio
kabla ya viongozi wakuu wa chama hicho kuhutubia wananchi.
Wafuasi na wanachama wa
Cuf wakiwa wamekunja ngumi juu wakati viongozi wakuu wa chama hicho wakihutumia
maelefu ya wakazi wa Morogoro.
Mwenyekiti wa
Cuf Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba akisalimia wananchama na wafuasi wa chama
hicho mara baada ya kuwasilia katika ofisi za wilaya za chama hicho mkoani
hapa.
Wananchama na wafuasi
wa chama hicho wakiwa katika maamandano kutoka katika ofisi za chama hicho mtaa
wa Boma kuelekea uwanja wa shule yamsingi Kiwanja cha Ndege katika mkutano wa
hadhala.
Sehemu ya magari kutoka
Dar es Salaam ambayo yamebeba wanancha na wafuasi wa chama hicho yakielekea
katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege.
Wanachama wa Cuf wakiwa
katika maandamano huku Mwenyekiti wa Cuf Taifa Profesa Ibrahim Lipumba akiwa
katika gari huku akiwapungia wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakati akielekea
katika ofisi za wilaya hiyo mtaa wa
Boma.
Mwenyekiti wa Cuf Taifa,
Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika
mkutano wa hadhala uliopewa jina la mchakamchaka mpaka 2015 ambao ulifanyika
kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya
Morogoro.
Katibu mkuu wa Cuf,
Maalim Seif Hamad akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano
wa hadhala wa mchakamchaka mpaka 2015 uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya
msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.
Mwenyekiti wa
Cuf Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kushoto,
Katibu mkuu wa Cuf, Maalim Seif Hamad na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi kulia wakifuatilia matukio kabla ya viongozi wakuu wa chama hicho kuhutubia wananchi.

Post a Comment