Waziri
wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua wimbomaalum wa
NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All Stars,mbele ya wadau
waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari
13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akifafanua
jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali ndani
na nje ya Tanzania,
kwenye
mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa
kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu
yake kwa mwaka huu ni Sekta
ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini
kifanyike..
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini-CHADEMA,Mh. Zitto
Kabwe akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius
Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano
wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari
13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Pichani
ni Mwenyekiti wa wasataafu wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda wake
kuhusiana na namna shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa shirika la
TAZARA,kupitia mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Mwenyekiti wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano
wa
tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi Msangi akitoa
utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo
unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,kulia
kwake ni Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan
Dau
Mmoja wa wajumbe wa NSSF,Peter Sumbi aliyekuwa
akifanya kazi shirika la Wildlife Fund akitoa ushuhuda wake,namna alivyopata
ajali na kufanikiwa kupata fao lake la ajali kazini kutoka kwa shirika la NSSF
na hatimaye kufaidi matunda kupitia mfuko huo.
Meneja
wa kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka NSSF,Rehema
Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau
waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari
13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia akichangia moja ya mada
zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akizungumza jambo na Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius
Magori mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mkutano wa shirika
hilo.
Wadau
Meneja
Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja
Mahusiano wa SSRA,Sarah Kibonde wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano
huo unaoendelea hivi sasa.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini
wakiwa kwenye mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph
Mbilinyi a.k.a Sugu akiwa sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh Joshua
Nasari (CHADEMA) na Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana kwenye
mkutano wa NSSF.
Mbunge
wa jimbo la Ludewa-CCM,Mkoani Njombe,Mh. Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na baadhi
ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa
yakijiri ndani ya mkutano huo ambao umewakutanisha wadau zaidi ya 1000 kutoka
sehemu mbalimbali jijini Arusha.
Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali
wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya
ukumbi wa mikutano
wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Baadhi ya watendaji wakuu wa NSSF wakiwa
mkutanoni.
Wadau
Sehemu ya Wabunge waliopo kwenye
mkutano huo.
Mkutano
ukiendelea. Picha zote na Othman Michuzi
Post a Comment