Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa Sudan
nchini, Yassir Mohammed Ali. Balozi na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali
ya ushirikiano kati ya ubalozi huo na wizara.
Balozi wa Sudan nchini,
Yassir Mohammed Ali (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dk Emmanuel Nchimbi wakati balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi wizarani hapo,
jijini Dar es Salaam
Post a Comment