Washiriki wa semina hiyo wakisikiliza kinachojiri. |
Kwa sasa ndani ya kanuni hizo mpya za uendeshaji mashauri ya kesi za madai yenye sura za kibiashara masuala ya kuahirisha kesi bila sababu za msingi hayatopewa nafasi kwani mahakimu watapaswa kulipia gharama za kuahirisha kesi wanapokuwa na sababu zao binafsi.
Washiriki wa semina hiyo pamoja na wawezeshaji wakisikiliza kinachojiri. |
Washiriki wa semina hiyo wakisikiliza kinachojiri. |
Sehemu nyingine ya washiriki waliohudhuria semina ya Uhamasishaji kanuni mpya za Mahakama ya Biashara mkoani Mwanza iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya jiji la Mwanza. |
Kwa umakiiii washiriki wa semina hiyo wakisikiliza kinachojiri. |
Sikiliza mahojiano yangu na Mwanasheria......>
Jiografia ya kusanyiko la semina ya Uhamasishaji kanuni mpya za Mahakama ya Biashara mkoani Mwanza iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya jiji la Mwanza. |
Post a Comment