|
Baadhi
ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakipinga picha sehemu ya rundo
la vipande vya magogo ya miti vilivyohifadhiwa ndani ya kiwanda cha 21st
Century Textiles eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro, kiwanda hicho
kinanunua kutoka kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya mkoa kwa ajili ya
uendeshaji wa mitambo ‘ Boiler’ za kuchemshia maji, uamuzi ambao unalalamikiwa
na wananchi kuwa kinachangia uharibifu mkubwa wa mazingira ya ukaji wa miti ya
asili ovyo. |
|
Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Ande Malango , ambaye ni Ofisa
Maliasili na Misitu wa Halmashauri hiyo akipita juu ya vipande vya magogo ya
miti iliyokuwa imehifadhiwa ndani ya kiwanda cha 21st Century Textiles
kilichopo eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro, Source:John nditi wa
Habarileo |
on Saturday, March 2, 2013
Post a Comment