Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Afanya Majumuisho Ya Ziara Zake Zanzibar


Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Khamis Ali,baada ya kusoma Quran tukufu,iliyosomwa kwa ajili ya kuupa Baraka mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais katika Mkoa wa Kusini Pemba huko Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Pemba
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi mbalimbali na watendaji wa Mkoa wa kusini Pemba jana,katika ukumbi wa Skuli ya Fidel kastro Vitongoji Pemba
Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Ofisi zililizondani ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo ,uliofanyika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba
Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Ofisi zililizondani ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo ,uliofanyika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top