Baadhi ya wafuasi
wa shekh Issa Ponda wakionyesha mikono huku wakisema takbir wakati shekh ponda
akiwa katika gari la magereza mara baada ya kusomewa shitaka lake na kudai anayo
kesi ya kujibu katika mahakama ya kisutu leo
Askari magereza
akimfungua pingu shekh Issa ponda katika mahakama ya kisutu leo akisubiri
kusomewa shitaka lake la kudaia kuvamia katika eneo la markazi changome bila
ruhusa mwenyewe
Shekh Issa
Ponda akisindikizwa na askari wa jeshi la magereza mara baada ya kusomewa
shitaka lake leo
Post a Comment