Loading...
Home »
Unlabelled »
TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO
Shirika la umeme nchini Tanesco limesema tatizo la
ukatikaji wa umeme linaloikabili inchi hivi sasa linatokana na kutumia mitambo
ya dharura kuzalisha umeme ambayo inatumia gharama kubwa kuiendesha, matengenezo
makubwa yanayoendelea katika kituo cha Ubungo pamoja na uharibifu uliotokea
katika mfumo wa Songosongo.
on Monday, March 4, 2013
Post a Comment