Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANAWAKE WA TUICO BANKI KUU WATOA MSAADA HOSPITALI YA OCEAN ROAD LEO


Wafanyakazi wa banki kuu Tanzania makao makuu Tawi la TUICO la wanawake walifanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa wa saratani katika Hospitali ya OCEAN ROAD na kutoa msaada wa vyakula mbalimbali pamoja na sabuni nguo mishwaki na kadhaa katika kuadhimisha siku ya Wanawake duniani
afisa habari Beatrice akiongoza kundi la akinamama wa banki
katika ziara hiyo ikiongozwa na Naibu Gavana wa banki hiyo DR Natu Mwamba pamoja na mwenyekiti wa tawi hilo kwa wanawake Coreta Mashindike walisema huu sio mwisho wa kutoa misaada ya kijamii kwa watu mbalimbali ambao wanapata matatizo tutaendelea na moyo huo ambao tumeunysha kwa ndugu zetu waliokuwa hospitalini ambao wanashida
mizigo ya msaada ikiteremshwa

mmoja wa akina mama wa tawi la tuico wa banki kuu akisalimiana wagonjwa

Mwenykiti wa tawi tuico kwa wanawake Coreta Mashindika akitoa msaada

Naibu gavana wa banki kuu DR NatuMwamba akimvisha khanga mgonjwa Mwanaenzi alli

badhi ya akina mama wa banki hiyo wakitoa msaada wao

Naibu gavana wa banki kuu DR Natu Mwamba kulia akiwa amebeba baadhi aya bidhaa

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top