Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo akimkabidhi mfano wa hundi
yenye thamani ya sh. mil. 50, Mhandisi wa Maji wa kampuni ya DRIMA __
Gound Woter Drilling, Melkion Mhagama kwa ajili ya uchimbaji wavisima 2
vya maji katika vijiji vya Iramba na Lukole Wilayani Mpwapwa hivi
karibuni.
Wanaoshuhudia
ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, Meneja wa
TBL Kanda ya Kusini, James Bokela na Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Mpwapwa,Alexzanda Nyauringo.
Naibu Waziri wa Nishati George Simbachawene akiwatambulisha Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo na Meneja wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokila. |
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa Christopher,Kangoye akifurahia jambo mbele ya
wananchi wa vijiji hivyo alipokuwa akiongea nao wakati wa upokeaji wa
msaada wa sh. Mil 50 kwa ajili ya uchimbaji wa visima toka kampuni ya
bia TBL.
Wananchi wa vijiji hivyo wakifuatia jambo baada ya kupokea msaada huo.
Credits: Sufiani Mafoto
Post a Comment