Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Injinia R.D.Shamra,wa kampuni ya LEA Associates South Asia PVT.Ltd, alipofika Mapofu -Mzambarau Karim, kugagua hatua za ujenzi wa barabara inayojengwa kwa ufadhili wa shirika la MCC la Marekani, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kiuyu Mkadini,baada ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa katika Kijiji hicho, Masjid Imraan, alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Post a Comment