Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA

IMG_0013Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Rais wa Shirikisho la kuendeleza kilimo na chakula (IFAD), Dr. Kanayo Nwanze wakati alipotembelea Makao Makuu ya IFAD Mjini Roma , Italia hivi katibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMG_0168Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Bi Ertharin Cousin wakati alipotembelea makao makuu ya Shirika hilo Mjini Roma Italia hive karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0404 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu kitabu alichozawadiwa na kiongoizi wa kampuni ya China Merchant Group Limited, Dr. Fu Yuning (kushoto) baada ya mazungumzo yao,Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es alaam, Machi 23,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0410Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetea na Kiongozi wa Kampuni ya China Merchant Group Limited, Dr.Fu Yuning baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 23,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top