Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ASKOFU MOKIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KIKUNDI CHA UMAKI DAR


Dkt. Mwile Malecela (kulia) akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa askofu mkuu mstaafu wa makanisa ya Anglikana Dkt. Valentino Mokiwa wa (umaki)usharika wa mama wa kikristo, wakati wa maadhimisho ya sherehe yao ya kumbukumbu ya mama mariamu iliyofanyika jana katika kanisa la Anglikana Kawe jijini Dar es Salaa.

Dkt. Mwele (kulia) akiwa na Rais wa Kikundi cha Umaki, ambaye pia ni mama mlezi wa kikundi hicho, Grace Mokiwa, wakati wakitembelea katika mabanda ya maonyesho ya Bidhaa za Kinamama Wajasaliamali wa Umaki. Picha na Mpiga Picha Wetu

 

credits: Sufiani Mafoto

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top