Mhe. Warizi wa Fedha Dkt. Wiliam
Mgimwa akiongea machache na kumshukuru Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka na
Maafisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kwa kuwaandalia
chakula cha jioni yeye na ujumbe wake Jumamosi April 20, 2013 kwenye
ukumbi wa kukmbukumbu ya Mwal. Julius Nyerere uliopo Ubalozini hapo.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe. Lily Munanka akiongea machache kumshukuru Mhe. Waziri na
Ujumbe wake kwenye chakula cha jioni leo Washington, DC.
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam
Mgimwa (kushoto) akimsikiliza Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka wakati
alipokua akiongea machache kumshukuru Mhe. Waziri na ujumbe wake.
Maafisa Ubalozi wakimsikiliza kaimu Balozi Mhe. Liliy Munanka (hayupo pichani)
Monica Mwamunyange Kamishna wa Bajeti akiwa na Afisa Habari Ubalozi wa Tanzania Washington, Dc, Mindi Kasiga.
Kushoto ni Bi Natu Mwamba Naibu Gavana akiwa na Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango
Kushoto ni Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA na DR. Philip Mpango Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango
kutoka kushoto ni Bi Natu Mwamba Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA
kutoka kushoto ni Bi Natu Mwamba
Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya
Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA, DR. Philip Mpango Katibu
Mtendaji Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango na Prof. Benno Ndulu Gavana wa
Benki kuu
Juu na chini ni Mhe. Waziri na
Ujumbe wake pamoja na Kaimu Balozi na Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani katika picha ya pamoja.


Post a Comment