Mshauri wa Kimataifa wa Biashara Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati akiwatambulisha madaktari bingwa kutoka India ambao wapo nchini kwa ajili ya kutoa matibabu. Kulia ni Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Narayana, Dk. Gagan Dudeja, Dk. Suhel Hassani ambaye ni bingwa wa magonjwa wa koo na shingo na Mwenyekiti Mtendaji wa Hospitali ya Bangarne ya India, Jyotsna Thajur. 

Profesa Dk.Anthony Pais ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Kansa kutoka nchini India (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Bangarne ya India, Jyotsna Thajur na Mshauri wa Kimataifa wa Masuala ya Biashara wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira
Mmoja wa maofisa wa Hospitali ya Sanitas, Suresh (kulia), akitoa neon kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta Rugemalira na Meneja Biashara wa Hospitali ya Sanitas, Sarin.
Mgeni mualikwa Balozi Shengoma Lawrence, akiuliza swali kwa madaktari bingwa hao kutoka India.
Mhariri Mkuu wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Bernadina Chahali (kushoto), akiuliza swali kwa madaktari hao. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta Rugemalira na Meneja Biashara wa Hospitali ya Sanitas, Sarin na mmoja wa maofisa wa Hospitali ya Sanitas, Suresh 

Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Sanitas iliyopo Jengo la Baraka barabara ya Mwai Kibaki Mikocheni jijini Dar es Salaam Murty (kushoto), akihutubia kwenye hafla hiyo. Kulia ni Mshauri wa Kimataifa wa Masuala ya Biashara wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira na Profesa Dk. Anthony Pais ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Kansa kutoka nchini India 

Mshauri wa Kimataifa wa Masuala ya Biashara wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira (wa pili kushoto), akizungumza na Dk. Mark Bingilaki (kulia). Kushoto ni Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania, John Mgetta na Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo, Benedicta Rugemalira
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)






Post a Comment