Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM MOROGORO MJINI, KUUNGURUMA KATIKA MKUTANO WA HADHARA LEO


1
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mohammed Aziz Abood wakati alipowasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Morogoro mjini kwa ajili ya kupokea taarifa ya Wilaya hiyo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi , Leo mchana Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana, Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi Nape Nnauye , Katibu wa NEC Oganizesheni Dk. Mohammed Seif Khatib pamoja na viongozi wengine wa CCM watakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa shule ya Msingi Kiwanja cha ndege mjini Morogoro. 2
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na viongozi mbalimbali wa CCM wilaya ya Morororo mjini kwenye ukumbi wa Veta mjini Morogoro. 3
Hapa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya wilaya. 5
Wajumbe wakiwa katika ukumbi wa Veta wakisuburi kuzingumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana.
6
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa chipukizi wa Morogoro mjini. 7
Viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo. 8
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mohammed Aziz Abood 9
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akizungumza katika mkutano huo.
credits: Fullshangweblog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top