Baada ya Maji kupungua katika eneo la Chipite ambalo lilijaa maji na
kusababisha Abiria zaidi ya 500 na Magari zaidi ya 200 kushindwa
kupita,

Kufanya gari nyingi ziendazo na Kutoka
Mtwara,Masasi,Ruangwa,Liwale,Nachingwea,Liwale,Nanyumbu na Tunduru
kufanya safari kwa kuzunguka wilaya ya Newala sasa hali imeanza
kubadilika na gari nyingi kuanzia jioni zimeanza kupita ingawa kwa
Mashakamashaka ili kusaidia kupeleka na kutoa huduma kwa Jamii
Kufuatia hali hiyo baadhi ya wasafiri waliokwama wametupia lawama kwa
Wakala wa Barabara Tanroads na Kitengo cha Maafa kutotoa Ushiriakiano
wowote kuhakikisha Abiria wanakuwa kwa usalama ikiwa pamoja na
kutafuta jitihada za haraka kuwavusha ili kuepusha Maafa
yatakayochangiwa na uwepo wa msongamano kwa muda mrefu

Hali ya usafiri sasa iko kama kawaida kuelekea katika wilaya Tajwa hapo Juu
CHANZO ABDULAZIZ LINDI
Post a Comment