Mandhari ya nje ya jengo jipya la Tawi la Benki ya NMB Buzuruga, kama inavyoonekana baada ya kukamilika.
Sehemu ya ndani ya benki hiyo wanapotakiwa kusimama wateja katika foleni wakati wakielekea madirishani kupata huduma.
NMB inaendelea kupanua mtandao
wake wa matawi na kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wake.
Sasa NMB imekuwa karibu na wateja
wa eneo la buzuruga kwa kufungua tawi eneo la Buzuruga Mwanza katika jengo la
Buzuruga Plaza lililopo karibu na kituo cha mabasi cha Buzuruga.
NMB inaendelea kuwa kinara katika
ubunifu Tanzania kwa kuanzisha huduma nyingi za kibenki. Hivi karibuni
imeungana na Vodacom ili kuwarahisishia wateja kupata huduma za kibenki kwa
urahisi. Sasa wateja wanaweza kuweka na kutoa fedha kwenye akaunti ya NMB
kutokea M-Pesa.
Huduma hii ni ya haraka, salama, unaitumai popote ulipo na
wakati wowote.
Kwa mawasiliano zaidi,
wasiliana na: NMB
Buzuruga;
S.L.P 1450
Mwanza
Simu: 028 2570483
: 028 2570482
Post a Comment