Meneja wa kiwanda cha bia cha Serengeti
Moshi Colman Hannah akitoa maelezo mafupi kwa wana habari juu ya ugeni kiwandani
hapo kulia kwake ni Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan na kushoto kwake
ni Msambazaji mkuu wa bidhaa za Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani
Kilimanjaro.Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan kushoto akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti
Moshi Colman Hannah akitembelea kiwanda hicho mwishoni mwa wiki
hii.Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan akionja bia ya Guinness inayozalishwa kiwandani hapo(kulia) akiwa
pamoja na katibu wake Nicholas Michael(katikati) na mwenyeji wake Meneja wa
Kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman
Hannah(kushoto)
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan akipata maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara ya kiwanda hicho
Jemima Mwambungu.Mpishi mkuu wa bia za Kampuni ya bia ya
Serengeti Moshi Julius Nyaki akitoa maelekezo kuhusu upikaji wa bia ya Guinness
kwa Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan mara baada ya kutembelea
kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan(kulia) akizungumza na wana habari mara baada ya kumaliza ziara yake ya
kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti cha mjini Moshi akiwa na Meneja wa
kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah.Meneja wa kiwanda cha bia cha
Serengeti Moshi Colman Hannah(kulia) akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu utengenezaji
wa bia ya Guinness kwa Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan(wa pili
kutoka kulia) na katibu wa balozi huyo Nicholas Michael(wa pili
kushoto)Imechotwa: Audiface Blog
Post a Comment