Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UTABIRI WA HALI YA HEWA WA LEO ALHAMISI APRIL 11-UKIWA NA ANGALIZO HUU HAPA


WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 11/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Morogoro]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Iringa]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Ruvuma]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
1836
D'SALAAM
33°C
1823
DODOMA
30°C
1837
KIGOMA
28°C
1902
MBEYA
23°C
1845
MWANZA
22°C
1850
TABORA
27°C
1850
TANGA
32°C
1825
ZANZIBAR
32°C
1823
PEMBA
32°C
1825
MOROGORO
31°C
1832

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi yakm 20 kwa saa;kutoka Kusini-Masharikikwa ukanda wote wa pwani.

Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi 11/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top