Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Beatrice
Singano (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya
kupiga simu kwenda India kwa gharama nafuu. Wengine wanaofuatia ni
Balozi wa India hapa nchini, Debnath Shaw, Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni hiyo, Sunil Colaso na Meneja Biashara za Kimataifa wa Kampuni
hiyo, Prisca Tembo. Na Mpigapicha Wetu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Beatrice
Singano (kushoto) na Meneja Biashara za Kimataifa wa Kampuni hiyo,
Prisca Tembo (wa pili kutoka kulia) wakizindua huduma mpya ya kupiga
simu kwenda India kwa gharama nafuu. Wengine ni Balozi wa India hapa
nchini, Debnath Shaw (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
hiyo, Sunil Colaso. Na Mpigapicha Wetu.

…………………………………………………….
• Wateja kupata kifurushi cha dakika 25 kupiga simu kwenda India
• Ofa hii inapatikana masaa 24 siku 7 za wiki,
Kampuni ya Bharti (“Airtel”) inayoongeza kwa kutoa huduma za
mawasiliano inayoendesha shughuli zake katika nchi 20 barani Afrika na
Asia leo imetangaza uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel
Tanzania kupiga simu kwenda nje kwa gharam nafuu zaidi.

Ofa hii inaendelea kuonyesha dhamira ya Airtel Tanzania ya kuendelea
kuwanganisha watanzania katika mtandao wa mawasiliano na kuwapa huduma
bora zenye gharama nafuu. Uzinduzi huu unafatia utambulsho wa huduma
kabambe ya Airtel yatosha iliyofanyika week chache zilizopita.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hii mpya, Mkurugenzi mkuu wa
Airtel Bwn. Sunil Colaso alisema ”baada ya uzinduzi wa mafanikio ya
huduma yetu ya Airtel yatosha. leo tunazindua ofa ya mawasiliano ya
gharama nafuu na kuwawezesha wateja wetu kuwasiliana na familia
,marafiki na washirika wa kibiashara walioko nje ya mipaka ya nchi.
Kwa kiasi cha chini cha hadi shilingi3, 000 sasa wateja wa Airtel
wanaweza kupiga simu India masaa 24 kwa siku 7 za wiki. Ofa hii
itampatia mteja dakika 25 za muda wamaongezi kwa muda wa wiki nzima.

Aliongeza “Hii ni ya kwanza kutoka Airtel, na tunaendelea
kuwahakikishia wateja wetu nchi nzima huduma bora, za uhakika na
gharama nafuu za mawasiliano wakati wote. Tumesikiliza kile wateja
wetu wanachokitaka na kutengeneza ofa inayokidhi mahitaji yao hivyo
tutaendelea kutekeleza dhamira kwa watanzania ya kuleta huduma zenye
ubunifu, bora na gharama nafuu ambazo kwa uhakika zitaleta uhuru wa
kuongea nje ya mipaka. Ofa hii itawawezesha wateja wanaosafiri au
kuwasiliana na India iwe kimasomo, kibiashara , wanaotembelea India
kimatibabu kuwa na mawasiliano na familia zao kwa gharama za
kiushindani zilizo nafuu zaidi. Uzinduzi huu ni mwanzo wa kuleta
mapinduzi ya mawasiliano katika soko la Tanzania.

Kwa upande wake Balozi wa India nchini Tanzania, H.E. Mr.Debnath Shaw
alisema” Tunawapongeza Airtel kwa kuzindua ofa hii itakayoendelea
kutuunganisha na kuendeleza ushirikiano wetu kati ya India na
Tanzania. nchi hizi mbili zimekuwa na ushirikiano wa karibu si
kibiashara tu bali katika sekta ya elimu, Afya na shughuli nyingine za
kijamii. Ninayofuraha kuona Airtel ikiwa mstari wa mbele kuleta
gharama nafuu katika soko la Tanzania. Nchini India Airtel ni mtandao
unaoongoza uliowekeza katika technologia ya hali ya juu, mtandao bora
na unaotoa huduma bora za gharama nafuu kwa wateja wake. Ninayofuraha
kuona huduma za mawasiliano zinabadilika kwa kasi na kufanana kama za
India katika soko la Airtel barani Afrika.”

“Tunaamini hii ni fulsa pekee kwa wafanyabiashara , wanafunzi waliko
India na wengine wanaotembelea India kwa sababu mbalimbali kuwasiliana
na familia, marafiki na washirika wa kibishara waliko Tanzania kwa
gharama nafuu

Akifafanua kuhusu ofa hii Meneja wa biashara za kimataifa wa Airtel bi
Prisca Tembo alisema” ofa hii inapatikana katika kifurushi cha muda wa
maongezi ambapo kwa bei moja ya shilingi 3000 mteja atapata dakika 25
atakazozitumia masaa 24 kwa siku 7. Kifurushi hiki kitatozwa kwa
sekunde na kudumu kwa muda wa wiki nzima. Sambamba na hilo, Simu
zitakazopigwa kwenda nchi nyingine nje ya ofa hii zitatozwa kwa bei ya
kawaida”

“Ili kujiunga na ofa hii mteja anatakiwa kupiga*149*13# na kuweza
kufurahia ofa hii. Na huduma hii ni kwa wateja wa malipo ya awali nchi
nzima” aliongeza Tembo

Hivi karibuni Airtel ilizindua huduma ya Airtel yatosha inayotoa ofa
ya vifurushi vya muda wa mongezi, ujumbe mfupi na internet
zinavyomuwezesha mteja kuwasiliana na mtandao wowote nchini. Ikiwa
katika mwendelezo wake wa kuboresha huduma zake Airtel imezindua ofa
mpya ya kupiga simu kwenda nje ya nchi inayompatia mteja kifurushi cha
muda wa maongezi kupiga simu kwenda India. Ili kupata huduma hii piga
*149*13# na unganishwe sasa.

Post a Comment