Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LINAWASHIKILIA WATU WANNE BAADA YA KUWAKAMATA WAKITENGENEZA POMBE HARAMU


 Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiwaonyesha wandishi wa Habari Mabomba ya plastik Inayotumika kama Mitambo ya kutengenezea Pombe Haramu Aina ya Gongo Mara Baada ya kuikamata wilayani Kongwa jana.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime Akifungua Moja ya Madumu yaliyokamatwa na  Pombe Haramu ya Gongo yaliyokamatwa Wilayani Kongwa huku watu wanne wakishikiliwa na jeshi hil;o.
Haya ndio mabomba ya kutengenezea pombe haramu  PICHA NA JOHN BANDA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top