Kufuatia vurugu za wamachinga Mkoani IRINGA Juzi jumapili, Polisi Mkoani humo
wamemkamata Diwani wa kata ya Mivinjeni FRANK NYALUSI kupitia tiketi ya CHADEMA
nakufanya idadi ya waliokamatwa kufuatia sakata hilo kufikia 77.PICHANI ni
Diwani FRANK akiwahutubia wananchi kwenye moja ya mikutano yake ya
kichama.
Loading...
Home » Unlabelled » JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA LAMSHIKILIA DIWANI WA CHADEMA KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA IRINGA JUMAPILI
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment