Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMANDA KOVA AKANUSHA TAARIFA ZA KULIPULIWA KANISA LA KKKT KUNDUCHI

KAMANDAKOVA
Jeshi la polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam limekanusha taarifa zilizozagaa kuwa kanisa la KKKT Usharika wa Kunduchi limelipuliwa na bomu leo hii.Kamanda Suleiman Kova ameiambia radio Uhuru Fm kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote na ni za uzushi kwani jeshi la Polisi lilirusha bomu la machozi wakati likitafuta waharifu waliokuwa jirani na kanisa hilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top