Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano
wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo
Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi za Afrika, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo wa
14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongoza na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Prof. John Mkoma, wakati
akiondoka kwenye chumba cha mkutano baada ya kufungu rasmi mkutano huo
wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa mkutano huo, baada ya ufunguzi. Picha na OMR
Post a Comment