BAADHI YA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA WAKIMSIKILIZA
MKUU WA WILAYA HIYO SENYI NGAGA(HAYUPO PICHANI) WAKATI WA KIKAO CHA
TATHIMINI YA ELIMU KATIKA WILAYA HIYO AMBAPO IMEFANIKIWA KWA KIASI
KIKUBWA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAURU KATIKA ELIMU YA MSINGI KUTOKA NAFSI
YA TANO KIMKOA HADI YA TATU KATIKA MITIHANI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
KWA MWAKA 2012/2013
BAADHI YA WATENDAJI WA MITAA,KATA NA WAKUU WA SHULE WILAYA YA MBINGA WALIOHUDHURIA KIKAO CHA TAHIMINI YA ELIMU
BAADHI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO YA MBINGA WAKIFUATILIA KWA MAKINI TAARIFA MBALIMBALI
MKUU WA WILAYA YA MBINGA SENYI NGAGA AKIFUNGUA KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU KATIKA WILAYA HIYO KILICHOFANYIKA MJINI HUMO
AFISA ELIMU YA MSINGI WILAYANI MBINGA MATHIAS MKALI AKITOA TAARIFA YA
HALI YA ELIMU WILAYA HUMO WAKATI WA KIKAO CHA TATHIMINI AMBAPO
VIONGOZI,WAKIWEMO MADIWANI WAMEMPONGEZA KWA KUSIMAMIA NA KUFANIKIWA
KUONGEZA KIWANGO CHA UFAURU WA WANAFUNZI WILAYANI HUMO
DIWANI WA VITI MAALUM GRACE MILLINGA(MADELEKE) MBINGA AKIZUNGUMZA
WAKATI WA KIKAO HICHO AMBAPO PIA AMEWATAKA WATENDAJI KATIKA HALMASHAURI
HIYO KUACHA VITENDO VYA MAJUNGU NA FITINA MIONGONI MWAO VINAVYOWEZA
KURUDISHA NYUMA JUHUDI ZA SERIKALI KULETA MAENDELEO
WANAFUNZI WA SHULE YA CHEKECHEA YA ST WILLIAM YA KANISA KATHORIKI JIMBO
LA MBINGA WAKITOKA SHULE KAMA WALIVYIONASWA NA KAMERA YETU MJINI HUMO
MKUU WA WILAYA YA MBINGA MKOANI RUVUMA SENYI NGAGA KULIA AKITOKA KATIKA
KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU WILAYANI HUMO AMBAPO AMEWATAKA WADAU WA
ELIMU KUUNGANA PAMOJA KUHAKIKISHA WILAYA HIYO INAPIGA HATUA KUBWA KATIKA
UFAURU WA WATOTO WANAOMALIZA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI,KUSHOTO
MWENYE SUTI NI AFISA ELIMU YA MSINGI MATHIAS MKALI NA WA PILI KUSHOTO
NI MWENYEKITI WA HUDUMA ZA JAMII,AFYA NA MAJI AMBAYE PIA NI DIWANI WA
KATA YA LITUMBANYOSI MH,JAMES LIPALAMA
ASKOFU WA KANISA KATHORIKI JIMBO LA MBINGA JOHN NDIMBO KULIA AKITETA
JAMBO NA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA PRISCA
HAULE MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU KATIKA
WILAYA HIYO.(PICHA ZOTE NA MUHIDIN AMRI----MBINGA)
Post a Comment