Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Simba Chawene akizungumza jambo na mbunge wa Mtwara mjini mhe. Hasnain Murji Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Muhagama akizungumza na Mhe. Ally Kessy (Mb. Mpanda Kaskazini) katika kikao cha bunge leo. Waziri
wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akilionyesha bunge
moja ya michoro ya miradi mbalimbali ya umeme wakati akiwasilisha
hotuba ya bajeti Bungeni leo. Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe akiangalia moja ya michoro ya
mradi wa umeme wakati bajeti ya Nishati na Madini ikiwasilishwa Bungeni
leo. Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika akisoma hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni ya Nishati na Madini leo Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malechela akichangia hoja katika hotuba ya bajeti ya Nishati na Madini. PICHA NA ZAWADI MSALLA-MAELEZO
Loading...
Post a Comment