Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo
la Pongwe jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka Jiwe la
Msingi la ujenzi wa Viwanda katika eneo hilo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, linalosimamiwa na Wawekezaji kutoka nchini Korea Kusini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika
eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa
sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga. Kushoto kwa Makamu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa, Mwenyekiti wa Bodi
ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae na viongozi wengine
kwa pamoja wakifurahia baada ya Makamu kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic
Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga.Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda Mti wa kumbukumbu katika eneo maalum la Uwekezaji
la Tanga Economic Corridor Sez, baada ya kuweka rasmi Jiwe la Msingi la
ujenzi wa viwanda katika eneo hilo wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga.Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa ramani ya ujenzi wa Viwanda hivyo, mara baada
ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la
Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akionyeshwa baadhi ya vifaa kama Solar Cooker, ambavyo ni
baadhi ya vitakavyokuwa vikizalishwa katika Viwanda hivyo baada ya
kukamilika, mara baada ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda,
katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati
wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga. Picha na OMR
Makamu wa Rais na baadhi ya Viongozi, wakishirikiana kurusha mchanga ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ujenzi wa viwanda hivyo.
Picha ya pamoja
Post a Comment