Uchambuzi umeonyesha kwamba Wabunge wanaotoka katika
vyama vidogovidogo na vyenye viti vichache huwa na wastani wa juu zaidi wa
ushiriki. Tathamini hii inazingatia ushiriki uliofanywa na Wabunge katika miaka
miwili ya kipindi cha ubunge cha 2010 – 2015. Wabunge wanaweza
kushiriki kwa namna tatu: kwa kuuliza maswali ya
msingi, maswali ya
nyongeza na kutoa michango. Katika namna zote hizi,
TLP ambacho kina mbunge mmoja na NCCR-MAGEUZI watano, , vilikuwa na kiwango
kikubwa zaidi chaa ushiriki kwa Mbunge. Hata hivyo, ukiondoa vyama vidogovidogo
vyenye chini ya asilimia 5 ya uwakilishi Bungeni, Chadema kinafanya vema zaidi,
kikifuatiwa na CUF na CCM
Loading...
Home » Unlabelled » TAFITI NYINGINE BWANA .... ETI HAWA NDIO WABUNGE WANAOONGOZA KWA KUCHANGIA MNO NA KUTOKUCHANGIA
Post a Comment