Mkurugenzi
wa Kuratibu na Kukuza Utafiti kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Julius Massaga(katikati) akIzungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Uendelezaji wa Tiba Asilia
kwa Ajili ya Matumizi ya Binadamu, kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa
Idara ya Habari leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mtafiti Mwandamizi
na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka taasisi
hiyo Dkt. Hamisi Malebo na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari
Bi Zamaeadi Kawawa.
Mtafiti
Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili
kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt.
Hamisi Malebo (kushoto)akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu
Uendelezaji wa Tiba Asilia kwa Ajili ya Matumizi ya Binadamu katikati ni
Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti kutoka Taasisi hiyo Dkt.
Julius Massaga na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi .
Zamaradi Kawawa.
Mtafiti
Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili
kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt.
Hamisi Malebo akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani) dawa ya
inayotafitiwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa UKIMWI
iliyochakatwa kutoka ungaunga na kuhifadhiwa kwa kisasa.
(PICHA ZOTE NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
Post a Comment