Raia
aliyegongwa ameumia sehemu za shingo, usoni, machoni, mkononi na miguuni amevuja
damu nyingi, akisaidiwa kuingia kwenye Bajaj ili apelekwe hospitalini kwa
matibabu zaidi.
Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania, 2008 JW12
lililokuwa linaendeshwa na kupita upande tofauti wa
uelekeo wa kawaida wa barabara limemgonga mtu mmoja
aliyekuwa anavuka barabara katika eneo la TAZARA.
Gari hilo lilikuwa likipita upande wa kulia yanakotokea magari ya Buguruni na Ubungo baada ya dereva wake kukiuka sheria za barabarani.
Gari hilo lilikuwa likipita upande wa kulia yanakotokea magari ya Buguruni na Ubungo baada ya dereva wake kukiuka sheria za barabarani.
Post a Comment