Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Canada
hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo
alipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye. Kushoto ni Katibu wa NEC,
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro..
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwelewesha jambo Balozi wa Canada
hapa nchini, Alexandre Leveque, alipomkaribisha Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi
huyo alipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye. Kushoto ni Katibu wa
NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Canada hapa
nchini, Alexandre Leveque, alipomkaribisha Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Kushoto ni
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikizaa Balozi wa Canada hapa
nchini, Alexandre Leveque, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12,
2013
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Canada hapa
nchini, Alexandre Leveque, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013.
MKUREUGENBZI WA NDI KUSINI NA MASHARIKI MWA AFRIKA
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkurugenzi wa Taasisi ya
Chama Cha Democrat cha Marekani, inayojishughulisha na programu
mbalimbali za mamboresho ya kisiasa (NDI), Kusini na Mashariki mwa
Afrika, Dk. Keith Jennings, mgeni huyo alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo na kuwa na mazungumzo.
Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM, Dk.
Asha-Rose Migiro.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Chama Cha Democrat cha Marekani, inayojishughulisha na programu
mbalimbali za mamboresho ya kisiasa (NDI), Kusini na Mashariki mwa
Afrika, Dk. Keith Jennings, mgeni huyo alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 12, 2013. Kushoto
ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose
Migiro.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi wa Taasisi ya Chama Cha Democrat cha Marekani,
inayojishughulisha na programu mbalimbali za mamboresho ya kisiasa
(NDI), Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dk. Keith Jennings (watatu
kushoto), baada ya mazungumzo na mgeni huyo katika Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 12, 2013.
(Wapili Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, CCM,
Dk. Asha-Rose Migiro.Wengine ni ujumbe aliofuatana nao Mkurugenzi huyo.
Ofisa Mkuu wa Programu wa NDI Kusini na Mashariki mwa Afrika, Martha
Haile (kushoto) na kulia ni Ofisa wa Programu wa NDI, Tanzania, Mahija
Dodd na Dk. Bernadeta Killian kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
Post a Comment