Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas
akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa
timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana ikiwa ni kutambua
mchango wake katika kuendeleza soka na ikiwa ishara ya kutambua
ushirikiano wa kihistoria kati ya Castle Lager na FC Barcelona
uliosainiwa hivi karibuni huko Camp Nou Hispania. Wanaotazama ni Meneja
Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini James Bokella (wa kwanza kulia) na Meneja
Masoko wa TBL Bi. Natalia Celani (wa pili kulia). Na kushoto ni Meneja
wa Castle Lager, Kabula Nshimo na Aggrey Marealle, Mkurugenzi wa
Executive Solutions washauri wa mahusiano wa TBL. (Picha ya Ikulu)
Rais
Dktk. Jakaya Mrisho Kikwete, Mpenzi mkubwa wa michezo amepewa zawadi
ya Jezi namba 10 ya mwanasoka bora wa FIFA mara nne mfululizo,
mshambuliaji wa Barcelona, Raia wa Argentina, Lionel Andrew Jorge Messi
Post a Comment