Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya
Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo
katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria
Abubakary Khamis Bakari,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa
Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,wengine (katikati)
Jaji Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Chande Othman,na Jaji
Mkuu Zanzibar Omar Othman Makungu,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku
tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya
Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Majaji wa Nchi za Afrika Mashariki,
wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakisimama wakati wimbo wa
Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka
kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Post a Comment