Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernard Membe kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap
Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Mteule wa Uholanzi hapa
nchini Mhe Jaap Frederiks baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013
Post a Comment