Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ALIVYOPOKELEWA MKOANI SHINYANGA

 

1
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo asubuhi tayari kuanza ziara yake ya siku nne mkoani humo katika kuimarisha chama na Kuhamasishwa wananchi katika kushiriki kwenye shughuli za maendeleo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-ISAKA2
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji mdogo wa Isaka
5
Viongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
4
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Akisalimiana na  viongozi mbalimbali wa chama wakati alipowasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama leo asubuhi.
6
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Khadija Kusaga aliyewahi kuwa Mkuu wa  Wilaya ya Temeke
  3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ezekiel Maige mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama katika mkoa wa Shinyanga 15
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kipaza sauti Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakati wakiongea na wananchi katika mji wa Isaka, katikati ni Khameja  Mwenyekiti wa CCM  mkoa wa Shinyanga 14
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo. 13
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top