Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAOFISA WA POLISI WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

 


1Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa Mhe.Hamza Hassan Juma akiongea na Maofisa wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo kutembelea Makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Paul Chagonja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Manumba.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi). 2Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kati ya Maofisa wa Makao Makuu na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa wakati wa ziara yao Makao Makuu ya Polisi jana.Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe Hamza Hassan Juma (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
3Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa Mhe.Hamza Hassan Juma  akipokelewa na Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye Makao Makuu ya Jeshi la Polisi wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo kutembelea Makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top