Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitia
saini kitabu cha maombolezi katika ubalozi wa Kenya nchini Tanzania
kufuatia mashambulizi ya Kigaidi nchini Kenya yaliyotokea hivi karibuni
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,akizungumza na
Kaimu Balozi wa Kenya nchini Tanzania George Awenour baada ya kutia
saini kitabu cha maombolezi.
Post a Comment