Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANAMKE AULIWA NA ANAYEDHANIWA KUWA NI MUMEWE HUKO KAWE JIJINI DAR



Huyu ndiye Musa Senkando,Mume wa Marehemu Yusta Mkali anaesadikika kufanya mauaji hayo na anatafutwa na polisi.Picha chini ni Marehemu Yusta Mkali aliyepoteza Maisha Kwa Kuuliwa na Mumewe Musa Senkando (Pichani Juu)
Marehemu Yusta Mkali enzi za uhai wake.
Polisi wa kituo cha kawe akiukagua mwili wa marehemu Yusta Mkali.
 Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukitolewa kwenda kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala
 Wakazi wa Kawe wakiwa na nyuso za huzuni wakati mwili wa marehemu Yusta Mkali ukitolewa ndani kwenda kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.
 
Credit: Lukaza BLog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top