Msanii wa muziki wa kizazi
kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee
akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta
likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine.
Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa
wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013
ndani ya uwanja wa Sokoine,ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii
aliyewahi kuiwakilisa shindano la BSS,Walter
Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu.
Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu.
Mama wa miduara ya
Kibongofleva,Shilole akiwa na madensa wake wakitumbuiza jukwaani usiku
huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine
mkoani Mbeya.
Sehemu ya umati wa watu.
Mkali mwingine wa hip hop (bongofleva),Ney wa Mitego akikamua jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,kwenye uwanja wa Sokoine,mjini Mbeya.
Mkali mwingine wa hip hop (bongofleva),Ney wa Mitego akikamua jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,kwenye uwanja wa Sokoine,mjini Mbeya.
Wakazi wa jiji la Mbeya wakitoa
heshima kwa baadhi ya wasanii waliotangulia mbele za haki, kwa kuwasha
tochi za simu zao usiku huu.
Rich Mavoko na skwadi lake wakilishambulia jukwaa.
Shilole akiimba jukwaani.
Wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop,Stamina na Young Killer wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine usiku huu.
Wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop,Stamina na Young Killer wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine usiku huu.
Ni shangwe tu kwa wakazi wa jiji la Mbeya usiku huu ndani ya uwanja wa Sokoine.
Mmoja wa sanii mahati wa kizazi
kipya,Ommy Dimpo akiwaimbia mashabiki wake singo yake mpya iitwayo
Tupogo usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013.
MKali wa kukamua mangoma kutoka
Clouds FM,Dj Zero akiwarusha maelfu ya mashabiki wa muziki wa kizazi
kipya wanaondelea kumiminika kwenye uwanja wa Sokoine usiku huu.
Msanii aliyewahi kulwakilisa shindano la BSS,Walter
Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu,pichani akitumbuiza mbele ya mashabiki wake.
Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu,pichani akitumbuiza mbele ya mashabiki wake.
Baadhi ya watu wakifuatilia
yanayojiri usiku huu kwenye tamasha la Seremgeto Fiesta 2013 ndani ya
uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Mkali wa Mahaba,a.k.a tajiri wa
Mahapa kutoka mwambao wa Pwani,Cassi Mganga akiwaimbisha mashabiki wake
usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa
Sokoine mkoanni Mbeya.Picha na Michuzi Media Group-Mbeya.
Post a Comment