Mtangazaji
wa kipindi cha burudani cha Funika Base kutoka Radio 5 ya Mjini Arusha ,
Julius Kamafa (kushoto) akifanya mahojiano na Washiriki wa Shindano la
Redd’s Miss Tanzania 2013 katika studio za redio hiyo jana.
Meneja
Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina akizungumza na warembo wa Redd’s
Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Kituo cha Redio cha
Radio 5 cha mjini Arusha leo kujionea shughuli mbalimbali na kufanya
mahojiano maalum. Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wapo mkoani Arusha kwa
ziara ya kimafunzo.
Baadhi ya wafanyakazi wa TAN MEDIA wakisikiliza kwa makini mkutano huo baina ya warembo na Viongozi wa TAN MEDIA.
Meneja
Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina akizungumza na warembo wa Redd’s
Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Kituo cha Redio cha
Radio 5 cha mjini Arusha jana kujionea shughuli mbalimbali na kufanya
mahojiano maalum.
Warembo wakipiga picha za Pozi
Walimbwende na Viongozi wa TAN MEDIA na watangazaji wa Radio 5 walipiga picha ya kumbukumbu.
Warembo wakiondoka Radio 5
Post a Comment