Msanii wa moja ya vikundi vya
ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la
Jinsia Tanzania akicheza na nyoka aina ya chatu.
ki wa wakicheza kwa kuzunguka duara (mduara) kwenye tamasha lia jinsia. Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 wakicheza kwenye tamasha hilo
Mmoja wa wasanii wa ngonjera kutoka kundi la GDSS (kulia) akiimba kwa hisia akiwa jukwaani.
Washiriki wa Tamasha hilo jamii ya kimasai nao hawakuwa nyuma. Pichani
kikundi cha sanaa cha wanawake wa kimasai wakiimba kwenye Tamasha la
Jinsia Tanzania 2013 Washiriki wa Tamasha hilo jamii ya kimasai wakifurahiya jambo kwenye Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 .
Ngoma na mbwembwe zake bwana! Pichani ni moja ya vikundi vya ngoma
vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia
Tanzania vikitoa burudani.
Ngongoti na ngoma...! Pichani ni
moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika
maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania vikitoa burudani.
Mmoja wa Ma-MC wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 akizungumza kutoa matangazo anuai kwenye tamasha hilo.
Post a Comment