Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mwenyeji
wao Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya
kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi wanaohudhuria Mkutano Mkuu
wa 68 wa Umoja wa Mataifa jijini New York. Picha kwa Hisani ya Rae Lynn
Wargo wa Umoja wa Mataifa.
Loading...
Home » Unlabelled » Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Wakutana na Rais Wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle Obama
Post a Comment