Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA ATEMBELEA MAGHALA YA KITENGO CHA USALMA WA CHAKULA ARUSHA

 


DSCF0758
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati  alipotembelea   Maghara ya Kitengo cha  Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba 25, 2013. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo,  chakula   na Ushirika, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 DSCF0774
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati  alipotembelea   Maghara ya Kitengo cha  Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba 25, 2013. Kulia  kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo,  chakula   na Ushirika, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0023
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto)  wakitazama ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini  Mjini Tanga Septemba 26, 2013.(Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top