Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa ‘celebrating
humanitarian champions and partnerships in Africa’ ulioshirikisha
viongozi wa juu wa bara hilo. Mkutano huo ulifanyika huko New York
nchini Marekani tarehe 25.9.2013. Kulia kwa Mama Salma ni Bwana Bekele
Geleta, Katibu Mkuu wa International Federation of the Red Cross na
kushoto kwake ni Mheshimiwa Aisha Abdullahi, Kamishna wa Masuala ya
Siasa wa Kamisheni ua Afrika akifuatiwa na Mheshimiwa Valerie Amos,
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya huduma
za kibinadamu na dharura-Humanitarian Affairs and Emergency Relief.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa viongozi wa juu wa
Afrika ulioratibiwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika New York tarehe
25.9.2013.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na washiriki mbalimbali
waliohudhuria mkutano wa kusherehekea humanitarian partnership in Africa
tarehe 25.9.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Post a Comment