Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

POLISI KIJITONYAMA WAKABIDHIWA GARI LA DORIA



 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya gari dogo litakalotumika kwa ajili ya shughuli za kipelelezi katika kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Gari hilo limetolewa na wadau wa Polisi Jamii. (Na Habari Mseto Blog)


Kamishina wa Polisi Kanda ya Maalum Dar es Salaa, Suleima Kova akiwasiliana na askari wa doria katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, baada ya kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini kukabidhiwa gari lenye mawasiliano kutoka kwa wadau wa Polisi Jamii Manispaa ya Kinondoni.


 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimkabidhi cheti cha shukrani mmoja wa wadau waliofanikisha upatikanaji wa gari hilo.


Picha ya pamoja.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top