Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(kulia)
akisoma Maandishi kwenye jiwe la Msingi wakati wa uzinduzi rasmi wa
“Duty Free Shop” ya Magereza Mkoa wa Morogoro(kushoto) ni Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Uzinduzi huo
umefanyika leo tarehe 02 Oktoba, 2013 katika Viwanja vya Chuo cha
Magereza cha Udereva na Ufundi Kingolwira, Morogoro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(wa
kwanza kulia) akikata utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa huduma ya “Duty
Free Shop” ya Magereza Mkoa wa Morogoro(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi akihutubia
Maafisa na Askari pamoja na familia zao(hawapo pichani) wakati wa
uzinduzi rasmi wa “Duty Free Shop” ya Magereza Mkoa wa Morogoro leo
tarehe 02 Oktoba, 2013 katika Viwanja vya Chuo cha Magereza cha Udereva
na Ufundi Kingolwira, Morogoro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(wa
pili kushoto) akiangalia bidhaa mbalimbali zilizopo katika “Duty Free
Shop” ya Magereza Mkoa wa Morogoro baada ya uzinduzi na kushoto kwake ni
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Kalamu Sanga.
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza kutoka Vituo mbalimbali vya Magereza Mkoa wa Morogoro na Pwani wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(hayupo pichani).
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza kutoka Vituo mbalimbali vya Magereza Mkoa wa Morogoro na Pwani wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(hayupo pichani).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa na Askari wa Jeshi la
Magereza kutoka Vituo mbalimbali vya Magereza Mkoa wa Morogoro na Pwani
baada ya uzinduzi(wa tatu toka kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Magereza, John Casmir Minja(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
Sehemu
ya bidhaa za Vinywaji vikali na baridi vinavyopatikana katika “Duty
Free Shop” ya Magereza Mkoa wa Morogoro ambayo imezinduliwa rasmi leo na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi
katika Viwanja vya Chuo cha Magereza cha Udereva na Ufundi Kingolwira,
Morogoro(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)
Post a Comment